Language.Exchange

Kashashaのプロフィール

 

 

Email XXXXXXX

概要

Habari, Mimi ni Mtanzania naitwa Gualbert napenda sana kujifunza lugha mbalimbali na tamaduni { culture } tofauti duniani, napenda kuangalia filamu ( classic ), series, kusikiliza muziki, email chatting, kusoma magazeti na napopata muda napenda kusoma vitambu mbalimbali.

Nategemea kupata marafiki wapya na Kijifunza mambo mapya toka kwao

asante sana

新規メッセージ


新規メッセージ
Get help from your friend to learn foreign languages!